Logo

Become A Certified Car Owner Now!

Simplify your car-buying journey by following our step-by-step guide to own your dream ride. Explore the steps below and start your journey today.

sat bannar

Jinsi ya Kununua Gari na SAT

Fuata mwongozo huu wa hatua kwa hatua ili uweze kununua gari la ndoto yako

A Step by Step Guide to Own Your Favorite Vehicle

1. Search Vehicle

Find your dream car by browsing our comprehensive Search Engine.

2. Buy Now or Reserve

After finalizing, buy now or reserve your desired car to secure your ride.

3. Track Your Order

Track your order to get real-time updates by visiting our Tracking Page.

4. Receive Delivery

Receive your car at the decided destination port and enjoy your ride.

Quick Actions

action image

Buy Used Cars

Choose from our wide inventory of high-quality used cars

Buy Used Cars
action image

Buy New Cars

Upgrade your ride and enjoy the fresh drive of new cars

Buy New Cars
action image

Become a Dealer

Enjoy exclusive dealer perks and scale your car business globally

Become a Dealer

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Kununua magari yaliyotumika Japani ni uamuzi mzuri kwa sababu ya ubora wao usiopingika. Magari ya Japani yametengenezwa kwa viwango vikubwa vya ubora, hivyo kuyafanya kuwa ni magari ya kuaminika na yenye gharama nafuu za matengenezo au kuharibika kwa kiasi kidogo sana. Nunua gari lako la kwanza la Japani na SAT, ambapo tunakusaidia kufanya katika kila hatua ya kufanya manunuzi.

Utaratibu wa kununua gari una hatua tatu rahisi. Kwanza, tumia injini yetu ya utafutaji kutafuta gari unalolitaka kutoka katika hifadhi yetu ya magari. Kisha bonyeza 'Nunua Sasa' na ujaze taarifa zote zinazohitajika. Mwisho, lipia gari lako kwa kupitia njia zetu za malipo salama na kisha utapokea gari lako ndani muda wa wiki 4 hadi 8.

Bei zetu zipo chini kwa 30% ukilinganisha na wauzaji wa ndani. Pia tunakupa aina mbalimbali za magari yenye ubora uweze kuchagua. Chagua SAT na upate magari ya kiwango cha juu huku usafirishaji wake ukifanyika ndani ya wakati.

Pointi za uaminifu zinatolewa kwa kila ununuzi unaoufanya kutoka SAT, na unaweza kuzitumia katika manunuzi yako yanayofuata

Tunakubali malipo kupitia kadi za mkopo na kadi za malipo, PayPal, Malipo ya 'Telegraphic Transfer', Western Union.